SILAHA 4 ZAKAMATWA KATAVI ZIPO MBILI ZA KIVITA WAMILIKI WAKE WATELEKEZA PIA PIKIPIKI WATOKOMEA KUSIKOJULIKANA WENYE GOBOLE WAO WADAKWA NA POLISI.
Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la polisi Mkoani Katavi,limekamata silaha nne zikiwemo silaha mbili za kivita aina ya SMG na pikipiki moja aina ya Huoniao yenye namba za usajili T.948BHU za watu wanaosadikika kuwa ni majambazi. Kamanda Msaidizi wa Polisi Mkoani Katavoi ACP Rashid Mohamed akiwa ameshika silaha aina ya SMG za kivita zilizokamatwa kwa watuhumiwa wakiwa katika harakati za kufanya uharifu.(PICHA NA.Issack Gerald Februari 26,2016) Watuhumiwa waliokamtwa na silaha mbili aina ya gobole(PICHA NA.Issack Gerald Februari 26,2016) Kamanda Msaidizi wa Polisi Mkoani Katavi ACP Rashid Mohamed akionesha miongoni mwa silaha ambazo zimekamatwa(PICHA NA.Issack Gerald Februari 26,2016) Katika picha ni Silaha aina ya SMG ambazo ni za kivita zikiwa ni miongoni mwa silaha 4 ambazo zimekamatwa (PICHA NA.Is...