UJUMBE WA VIONGOZI WA KITAIFA MRADI WA ELIMU JUMUISHI WAWASILI KATAVI KWA ZIARA,WAZUNGUMZA NA KAMATI YA KULEA BALAZA LA WATOTO CHANGAMOTO ZAIBULIWA
NA.Issack Gerald-Mpanda Katavi Kamati ya kulea balaza la watoto wanaoishi katika mazingira magumu yenye mradi ujulikano kama mradi wa elimu Jumuishi Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,wamekutana leo na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalumu.