MGANGA MKUU JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA
MHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imemuhukumu mganga mkuu wa Zahanati ya Kasekese Wilaya ya Tanganyika Martin Mwashamba (27)kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la mbaka na kumpa mimba wanafunzi wa dasasa la sita wa shule ya Msingi Kasekese mwenye umri wa miaka 15 jina lake limehifadhiwa. Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu mkazi wa Mahakama ya Wilaya hiyo Odira Amwol baada ya Mahakama kuridhika na ushahidi uliotolewa Mahakamani hapo na upande...