MGANGA MKUU JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA
MHAKAMA
ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imemuhukumu mganga mkuu
wa Zahanati ya Kasekese Wilaya
ya Tanganyika Martin Mwashamba
(27)kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa
kosa la mbaka na kumpa mimba wanafunzi
wa dasasa la sita wa shule
ya Msingi Kasekese mwenye umri wa miaka
15 jina lake limehifadhiwa.
Hukumu hiyo
ilitolewa jana na Hakimu mkazi
wa Mahakama ya Wilaya
hiyo Odira Amwol baada
ya Mahakama kuridhika na ushahidi uliotolewa Mahakamani hapo na upande
wa mashitaka.
Awali katika kesi hiyo mwendesha mashtaka Mwanasheria
wa Serikali Mkoani Katavi Gregoli Mhagwa alidai Mahakamani hapo kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo
Julai 2 mwaka jana Kijijini hapo.
Alieleza Mahakamani hapo
siku hiyo
ya tukio mshitakiwa alimbaka mtoto
huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa
la sita wa shule ya Msingi Kasekese
mwenye umri wa miaka 15
huku akijua kufanya hivyo ni kosa.
Upande
wa mashitaka katika kaesi hiyo uliongozwa na mwanasheria Mhagwa
ulikuwa na mashahidi watano na miongoni mwao alikuwa
ni mwanafunzi aliyetendewa kitendo hicho
na mshitakiwa kwa upande wake
wa utetezi alikuwa na mashahidi watatu .
Hakimu Amwol
kabla ya kusoma hukumu hiyo
aliiambia Mahakama kuwa kutokana na ushahidi uliotolewa Mahakamani hapo
na upande wa mashitaka Mahakama pasipo kuacha
shaka lolote imemtia mshitakiwa hatiani
kwa mujibu wa
kifungu cha sheria 130 kifungu kidogo
cha kwanza na chapili na
kifungu cha sheria namba 131 kidogo cha
kwanza cha kanuni ya adhabu sura ya
16 marejeo ya mwaka 2002.
Baada ya kutoa maelezo hayo Hakimu alitaka mshitakiwa kama anayosababu yoyote
ya msingi ya kuishawishi mahakama ili
impunguzie adhabu basi anapewa nasafi
hiyo kabla ya kusomewa hukumu.
Mshitakiwa Mwashamba Katika utetezi wake aliiomba Mahakama impunguzie adhabu kwa kile alichodai kuwa yeye anafamilia inayomtegemea na pia ana
wadogo zake watatu ambao anawasomesha yeye
.
Hata hivyo utetezi huo ulipingwa vikali
na mwendesha mashitaka mwanasheria
wa Serikali Gregoli Mhagwa ambae aliiomba Mahakama itoe adhabu kali ili iwefundisho
kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo
.
Hakimu
Amwol baada
ya kusiliza pande hizo mbili
za mashitaka na utetezi aliiambia Mahakama kuwa mahakama imetowa adhabu
ya kumuhukumu mshitakiwa Tabibu
wa Zahanati
ya Kasekese Martin Mwashamba kutumikia jela kifungo
cha miaka 30
kwa kosa la kumbaka msichana mwenye umri
wa miaka 16.

Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com
Comments