WASAFIRI MPANDA WALALAMIKA TRENI KUTOSAFIRISHA ABIRIA KWA MUDA MWAFAKA
Na.Issack Gerald-MPANDA Wasafiri wa treni mkoani katavi wamelalamikia suala la kukaa muda mrefu kwenye kituo cha treni kiasi kinachowafanya kushindwa kusafiri kwa wakati unaotakiwa.