SERIKALI YATOA MILIONI 999,376,000/= KUGHARIMIA ELIMU BURE MKOANI MWANZA
Na.Issack Gerald-Mwanza. Serikali ya awamu ya Tano chini ya Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Josefu Magufuri Imetoa kiasi cha shilingi milioni 999,376,000 kwa ajiri ya kughalimia elimu kwa shule za msingi na Sekondari kwa mwezi januari.