NAIBU WAZIRI JAFO AZINDUA MRADI WA MAJI NSIMBO WILAYANI MLELE
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(Tamisemi), Mh.Selemani Jafo akiwa na mwenyeji wake Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Richard Mbogo amezindua mradi mkubwa wa maji Katika kijiji cha mwenge.