Posts

Showing posts from November 12, 2015

VIJANA MPANDA WAELEZA WALIVYONUFAIKA NA MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI

Image
  Vijana katika kongamano Mjini Dodoma katika maadhimisho siku ya vijana Duniani Na.Issack Gerald-MPANDA Vijana katika Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda walioshiriki kongamano la wiki ya Vijana Oktoba 14 mwaka huu,wamesema kuwa walinufaika sana na mafunzo mbalimbali ambayo wanatarajia kuyatumia na kufanikiwa katika shughuli za kijasiliamali.