WAKUU WA IDARA ZA ARDHI MKOANI MWANZA OFISINI HAPAKALIKI,JINO KWA JINO KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
Na.Albert Kavano-Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw John Mongera Leo amezindua program ya kushughulikia Migogoro ya ardhi mkoani humo na kuagiza wakuu wa idara ya ardhi kutotoka nje ya wilaya wala kuingia ofisini siku ya jumanne badala yake wakae na kutatua migogoro hiyo. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw.John Mongera