YATIMA MPANDA WAPATA MSAADA,CHANGAMOTO YA FEDHA HALMSHAURI YA WILAYA YASEMA BADO KIKWAZO KUWASAIDIA YATIMA WENGI
Baadhi ya watoto katika picha ambao wamepatiwa msaada Yatima wakisalimiwa na kupew zawadi ndogondogo NA.Theressia Lwaji-MPANDA KATAVI WATOTO yatima 12 kati 32 katika kijiji cha ifukutwa kata ya mpanda ndogo wa halmashauri ya wilaya ya mpanda mkoani katavi wamepatiwa misaada ya magodoro,vyandarua na blanket.