Posts

Showing posts from December 17, 2015

WAKAZI MPANDA WACHARUKA KUANDIKIWA RISITI TOFAUTI NA PESA WANAYOLIPA KWA USHURU WA KUZOA TAKA

Na.Issack Gerald-MPANDA BAADHI ya wakazi wa mtaa wa Mpanda Hotel   C Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi,wamelalamikia hatua ya kupewa lisiti iliyoandikwa fedha tofauti na kiasi wanacholipa kwa ajili ya kuzoa taka katika mtaa huo.