MAFUNZO YA SIKU 3 KUHUSU UTUNZAJI WA FEDHA NA MALI ZA UMMA KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA YAANZA KATAVI.
Na.Issack Gerald-Katavi MAHAKAMA ya Tanzania imeanza mafunzo ya siku 3 kuanzia leo hadi February 27 juu ya utunzaji wa fedha na mali ya umma kwa watumishi wa mahakama ya Tanzania mkoani Katavi katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa wilaya ya Mpanda.