WAZIRI NAPE AFUTA KAREFA,AMWAGIZA KATIBU TAWALA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA VIONGOZI UPYA
Na.Issack Gerald-Katavi WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemuagiza katibu tawala wa mkoa wa Katavi Bw Paul Chagonja kufuta uongozi wa mpira wa miguu KAREFA na kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wapya baada ya kufuta uliokuwepo.