WAKAZI MJINI MPANDA:KUKATIKA UMEME KERO-Oktoba 4,2017
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Baadhi ya Wakazi mjini mpanda Mkoani Katavi wakiwemo wafanyabiasha wameliomba shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Mkoani Katavi Kuboresha miundombinu yao ili kukomesha tatizo la kukatika umeme mara kwa mara mjini hapa.