HOTUBA YA MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA PILI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 5 FEBRUARI, 2016
Na.Issack Gerald - Dodoma HOTUBA YA MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA PILI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 5 FEBRUARI, 2016 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiahirisha mkutano wa pili wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bunge la 11 mjini Dodoma leo hadi Aprili 19 2016 utakapofanyika mkutano mwingine