MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO MTEGONI,APEWA SIKU SABA KUCHUNGUZA MHANDISI MWENYE DHARAU NA JEURI KWA VIONGOZJI WA SERIKALINI NA UBINAFISI WA MATUMIZI YA GARI,UHAKIKI WATUMISHI HEWA NALO LAENDELEA KUMTESA MKURUGENZI
Na.Issack Gerald-Nsimbo Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Bw.michael zyungu amepewa siku 7 kuchunguza kazi ya mhandisi aliyetajwa kwa jina mojala Mh. Mbotu anayetuhumiwa kudharau na kuonesha jeuri kwa viongozi wa ngazi za juu serikalini pamoja na ubinafsi katika kutumia mali za Halmashauri likiwemo gari la halmashauri hiyo.