JAMII KATAVI YATAKIWA KUTAMBUA HAKI YA ELIMU KWA WATOTO WENYE ULEMAVU
Na.Issack Gerald-Mpanda JAMII wilayani Mpanda Mkoani Katavi imetakiwa kutambua haki ya elimu kwa watoto wenye ulemavu kwa kuwaandikisha katika shule zinazotoa elimu maalumu kwa watoto walemavu.