WANAWAKE MPANDA NDOGO NA KABUNGU WAONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI
Na.Issack Gerald-MPANDA Jumla ya watu 14 kati ya 169 waliopima Virusi vya Ukimwi Mwezi Novemba mwaka huu katika Kata ya Kabungu na Mpanda Ndogo wamegundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya Ukimwi.