JIPU KUBWA MPANDA KATAVI LATUMBULIWA,WATUMISHI 16 NJE,TUME KUANZA KAZI YAKE WATAKAOBAINIKA SHERIA ZANOLEWA YUMO NA MWANASHERIA WA MANISPAA YA MPANDA.
Na.Issack Gerald-Mpanda BALAZA la Madiwani Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi ,limewasimamisha kazi watumishi 16 wa Manispaa hiyo kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo utumiaji ovyo wa fedha za manunuzi ya gari la kuzoa taka pamoja na ubadhilifu wa fedha ya skimu ya umwagiliaji maji ya kakese.