HABARI PICHA WIKI HII KUHUSU KIKAO CHA KUPITISHA MPANGO WA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 WILAYANI MPANDA-PICHA ZOTE NA P5 TANZANIA MEDIA
Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda Bw.Estomihn Chang'a,wa pili ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Pazza Tusamale Mwamlima,wa tatu ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na diwani wa kata ya Mpanda Ndogo Hamadi Mpaengo na wa nne ni Msitahiki Meya Manispaa ya Mpanda na Diwani wa Kata ya Majengo Mh.Willium Philipo Mbogo wakiwa katika kikao cha kupitisha mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 kilichofanyika Februari 16 katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda. Mwenyekiti wa Kikao hicho alikuwa mkuu wa Wilaya (PICHA NA Issack Gerald) Wajumbe katika kikao cha kupitisha mpango wa bajeti mwaka wa fedha 2016/2017 kilichofanyika Februari 16,2016 Katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda (PICHA NA Issack Gerald) Wajumbe katika kikao cha kupitisha mpango wa bajeti mwaka wa fedha 2016/2017 kilichofanyika Februari 16,2016 Katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda (PICHA NA Issack Gerald) Wajumbe katika kikao cha kupitisha mpang...