DIWANI NA MWENYEKITI WA KIJIJI HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO WATAKIWA KUACHA TOFAUTI ZAO ZA KISIASA,WAANDISHI WA HABARI KUFUKUZWA MKUTANO WA HADHARA WANANCHI WANG'AKA
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo imewataka Mwenyekiti wa Kijiji cha Muungano Bw Makalai Njile na Diwani wa Kata ya ibindi Mh, Justin Shinje Kuachana na Chuki za Kisiasa na badala yake wafanye kazi ya kutatua kero za wananchi wao.