Posts

Showing posts from July 12, 2016

POLISI WAKAMATA PEMBE ZA NDOVU 666.

Image
Polisi wa Tanzania wamekamata pembe 666 za ndovu zenye uzani wa tani 1.2 zenye thamani ya shilingi biloni 4.6 pesa za Tanzania sawa na dola milioni 1.2.                            

AHUKUMIWA MIEZI 9 AKIDAIWA KUTOROKA AKIWA CHINI YA ULINZI WA JESHI LA POLISI WILAYANI MPANDA

Image
Mahakama ya mwanzo mjini Mpanda imemhukumu mtu mmoja mkazi wa kata ya Misunkumilo kifungo cha miezi tisa jela kwa kosa la kutoroka akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi.                    

WALIMU NA WATENDAJI WA KATA WILAYANI KIBONDO WATAKIWA KUKOMESHA UTORO WA WANAFUNZI

Image
Walimu wa shule za msingi na watendaji wa kata Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma amewataka kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaacha utoro na kuhudhuria shuleni bila kukosa. Moja ya shule zilizopo wilayani Kibondo Mkoani Kigoma                                 

MANISPAA YA MPANDA YAANDAMWA ZAIDI NA MAAMBUKIZI YA VVU,KATAVI NAYO NDANI YA MIKOA 10 BORA YENYE VVU NA UKIMWI

Image
Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imeendelea kuwa na maambukizi makubwa ya Virusi vya Ukimwi na kuchangia Mkoa wa Katavi kuendelea kuwa miongoni mwa mikoa 10 ya Tanzania yenye maambukizi hayo.