UHABA WA MAJI ZAIDI YA WAKAZI 750 WAATHIRIKA
Issack Gerald-Katavi ZAIDI YA WAKAZI 750 waishio mtaa wa Kampuni kata ya Misunkumilo wanakabiliwa na ukosefu wa maji safi na salama hali inayosababisha kutumia muda mwingi kutafuta maji kuliko kufanya shughuli nyingine za maendeleo.