JESHI LA POLISI MKOANI RUKWA WATAJA MAJINA YA WALIOKUFA KATIKA AJALI-Oktoba 5,2017
Na.Issack Gerald-Sumbawanga JESHI la polisi mkoani Rukwa limetoa majina ya watu 15 waliofariki katika ajali ya Fuso lenye namba za usajili T425 BFF ili ndugu zao wakachukue miili ya marehemu kwaajili ya kwenda kufanya maziko.