Posts

Showing posts from March 17, 2016

RPC KATAVI ATAKA SILAHA ZISALIMISHWE

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limewataka wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha mara moja silaha hizo katika vituo vya Polisi vilivyopo karibu na makazi yao.

WANANCHI WILAYANI MPANDA WALIOMBA JESHI KATAVI KUONGEZA KASI YA KUZUNGUKIA MITAA KUIMARISHA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO.

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la Polisi Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,limeombwa kupita mara kwa mara katika mitaa ambayo wamekuwa hawapiti mara kadhaa ili kuimarisha usalama na kukomesha udokozi wa mali za raia unaoendelea.

WAWILI WAKAMATWA WAKITUHUMIWA KUIBA MTOTO WILAYANI MPANDA

Na.Vumilia Abel SERIKALI   ya kijiji cha Ikaka kata ya Mnyagala Wilayani Mpanda mkoani katavi kimewakamata watu wawili wanaofahamika kwa majina ya Edefance John na Januari Kisulo wote wakazi wa kijiji cha   Isengule kata ya Ikola   kwa tuhuma za wizi wa mtoto mwenyeumri wa miaka 13.