KIPINDUPINDU KATA YA KAWAJENSE KAMA CHOO HAITAJENGWA
Na.Agness Mnubi-MPANDA WAFANYABIASHARA wa soko la Majengo mapya kata ya Kawajense Manispaa ya Mpanda wanakabilwa na ukosefu wa huduma ya choo sokoni hapo, hali inayoweza kusababisha magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu.