JESHI LA ZIMAMOTO WALALAMIKIWA NA WAKAZI KATAVI KWA KUWAPA VITISHO WENYE MFUMO WA UTAPELI
NA.Issack Gerald-Katavi Wafanyabiasha wa soko la Buzogwe wamelalamikia hatua ya kikosi cha zima moto Manispaa ya Mpanda mkoani wa Katavi kwa kuwatoza kodi ambayo haijulikani inakopelekwa pamoja na kutoelimishwa juu ya michango hiyo. Mwonekano wa gari la zimamoto (PICHA NA Issack Gerald)