BREAKING NEWS : WAZIRI MKUU LEO KUANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOANI RUVUMA
NA:OFISI YA WAZIRI MKUU WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Ruvuma, ambapo atawasili mkoani hapo leo saa tisa alasiri. Waziri Mkuu wa TANZANIA Kassim Majaliwa (PICHA na Ofisi ya Waziri Mkuu)