AFISA ELIMU KATAVI:TUNATATHIMINI MATOKEO DARASA LA SABA 2017 TUJUE TULIPOJIKWAA TUCHUKUE HATUA
Na.Issack Gerald-Katavi MKOA wa Katavi umesema wanajitathimini ili kubaini sababu zilizosababisha kushuka kiwango cha ufaulu katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2017.