Posts

Showing posts from January 26, 2016

UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI KUTOKA MPANDA HADI SUMBAWANGA KUKAMILIKA 2016

Image
Na. Issack Gerald -Dodoma SERIKALI imesema ujenzi wa barabara ya Mpanda hadi Sumbawanga kwa kiwango cha lami unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka 2016.                                                       Bungeni Dodoma                                                       Jengo linalotumika katika vikao vya bunge Mjini Dodoma

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPATA KIPIGO KIKALI-P5 TANZANIA MEDIA INAKUSOGEZEA HIYO

Na.Issack Gerald-Mlele Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhani Ally (20), mkazi wa Kalovya Inyonga,amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Wilaya Inyonga kufuatia kipigo kikali alichokipata toka kwa Ntemwa Kabembenya(26) mkazi wa Ipwaga.

MKUU WA MKOA WA KATAVI ATAKA KILA MKAZI KUWA MLINZI WA MAZINGIRA YANAYOMZUNGUKA

Na.Issack Gerald-Mpanda Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Ibrahim Msengi,amemtaka kila wakazi wa Mkoa wa Katavi kuwa mlinzi wa mazingira yanayomzunguka.

MAMA AMUUA MTOTO WAKE AMFUNGA KAMBA SHINGONI AMTUNDIKA JUU YA MWEMBE MPANDA.

Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linamshikilia Sado Roket (26) mkazi wa Mnyakasi kwa kumuua mtoto wake Nchambi Tungu (11) mkazi wa Mnyakasi   kwa kumpiga kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake.

WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA,MMOJA KUTISHIA KUUWA KWA MANENO MWINGINE KUUZA KIWANJA KWA ZAIDI YA MTU MMOJA

Na.Issack Gerald-Mpanda MTU mmoja amefikishwa katika mahakama ya Mwanzo mjini Mpanda jana, akikabiliwa na shtaka la kuuza kiwanja kwa gharama ya shilingi laki sita na baadaye kukiuza kwa mtu mwingine.