KAMANDA KIDAVASHARI ATOA KAULI KUHUSU WANAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHARIFU MSIMU WA SIKUKUU YA PASAKA
Na.Issack Gerald-Katavi JESHI la Polisi Mkoani Katavi limetoa onyo kwa kikundi au mtu yeyote atakayesababisha vitendo vya furugu, fujo ama vitisho vinavyosababisha uvunjifu wa amani katika kipindi chote cha kusheherekea sikukuuu ya pasaka.