AHUKUMIWA JERA MIEZI 6 KWA KOSA LA WIZI MPANDA
Mahakama ya mwanzo mjini Mpanda imemhukumu mtu mmoja mkazi wa Nsemlwa kifungo cha miezi 6 jera au kulipa faini kiasi cha shilingi laki mbili na nusu kwa kosa la wizi kinyume na kifungu cha sheria namba 265 sura 16 kanuni ya adhabu.