MKUU WA MKOA WA KATAVI AFUTURISHA,MAMIA KADA MBALIMBALI ALIOWAARIKA WAHUDHURIA AWAASA KUDUMISHA AMANI
Mkuu wa Mkoa akizungumza na kada mbalimbali aliowaarika kushiriki kwa pamoja katika Ikulu ndogo Mjini Mpanda Mkuu wa Mkoa katikakti wakifuturu Mkuu wa Mkoa wa Katavi wa NNE kutoka kulia katika picha wakiswali Na.Issack Gerald-Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Dk. Ibrahim Hamisi Msengi amesisitiza kuwepo kwa amani, upendo na ushirikiano na kusema kuwa ni fursa nzuri kwa watu kufanya shughuli za maendeleo.