BREAKING NEWS : WAHAMIAJI HARAMU 8 RAIA WA ETHIOPIA WANASWA IRINGA-P5 TANZANIA INAKUSOGEZEA HIYO
Na.Issack Gerald-Iringa Jeshi la polisi Mkoani Iringa limewakamata wahamiaji haramu 8 Raia wa Ethiopia waliokiuwa wakisafiri isivyo halali na bila kibali cha kuingia nchini wakiwa wamepakiwa na gari lililokuwa limebeba magazeti. Kamanda wa Polisi Mkoani Iringa Peter Kakamba