HALMSHAURI ZA WILAYA YA MPANDA NA TANGANYIKA ZATAKIWA KUTENGA 5% YA MAPATO KWA AJILI YA WAJASILIMALI VIJANA
Na.Richard Mbeho-Mpanda HALMASHAURI ya Wilaya ya Mpanda na Tanganyika zimetakiwa kutenga asilimia 5 za mapato ya ndani kwa ajili ya kuwasaidia vijana kuanzisha miradi mbalimbali itakayo wawezesha kujikwamua kiuchumi. Baadhi ya vijana Wilaya za Tanganyika na Mpanda wakiwa kati mikutano ya hadhara(PICHA NA.Issack Gerald)