MATUKIO MAKUU 11 YA WIKI YALIYOTOKEA NDANI NA NJE YA KATAVI APRILI 4-9,2016
WAZIRI NAPE AFUTA KAREFA,AMWAGIZA KATIBU TAWALA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA VIONGOZI UPYA MPANDA-APRILI 04 WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemuagiza katibu tawala wa mkoa wa Katavi Bw Paul Chagonja kufuta uongozi wa mpira wa miguu KAREFA na kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wapya baada ya kufuta uliokuwepo.