WAKAZI KATAVI WATAKIWA KUWA MAKINI NA MVUA KUEPUKA MAFURIKO PIA IDARA ZA MAAFA KATIKA HALMSHAURI ZOTE ZAAGIZWA KUJIPANGA KIKAMILIFU
Na.Boniface Mpagape-Mpanda MKUU wa Mkoa wa katavi Dk. Ibrahim Msengi amewataka wakazi wa mkoa huo,kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kuwepo kwa mafuriko kama ilivyotabiriwa na wataalam wa hali ya hewa.