AKAMATWA KITUO CHA POLISI AKISHUKIWA KUWA NA VIUNGO VYA BINADAMU
Na.Mwandishi -SINGIDA Jeshi lapolisi Mkoani Singida linamshikilia mtu mmoja anayefahamika wa jian la Magida Bundala (30) Mkazi wa Mkoani humo wa kwa tuhuma za kukutwa na mafuvu na viungo vinavyosadikiwa kuwa vya binadamu pamoja na nyara za serikali kinyume na sheria.