AKAMATWA KITUO CHA POLISI AKISHUKIWA KUWA NA VIUNGO VYA BINADAMU
Na.Mwandishi -SINGIDA
Jeshi lapolisi Mkoani Singida linamshikilia
mtu mmoja anayefahamika wa jian la Magida Bundala (30) Mkazi wa Mkoani humo wa kwa tuhuma za
kukutwa na mafuvu na viungo
vinavyosadikiwa kuwa vya binadamu pamoja na nyara za serikali kinyume na
sheria.
Kamanda wa jeshi la polisi Mkoani Singida
Thobiasi Sideweka amesema mtuhumiwa huyo
amekamatwa juzi majira ya saa mbili za Asubuhi katika kituo cha polisi Wilaya
ya Ikungi alipokuwa amekwenda kuwajulia hali marafiki zake waliokuwa gerezani
ambapo amekamatwa baada ya kupekuliwa
Mtuhumiwa anatajiwa kufikishwa mahakamani
kujibu tuhuma zinazomkabili mara baada ya upelelezi kukamilika.
Comments