HALI YA USALAMA BURUNDI HUENDA IKACHUKUA SURA MPYA
Na. Issack Gerald-Katavi Hali ya kisiasa nchini Burundi huenda ikachukua sura mpya baada ya serikali na upinzani kutoafikiana juu ya yatakayozungumzwa kwenye mkutano ili kutatua mzozo nchini humo. Jaji Augustine Mahiga Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimatifa akiwa ni miongoni mwa viongozi wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki wanaoshuruhisha mgogoro wa kisiasa nchini Burundi