Posts

Showing posts from August 22, 2015

MATUKIO 6 MAKUU YALIYOTOKEA KATAVI WIKI HILI LA SITA-JAMII YATAKIWA KUWATAMBUA WATOTO WENYE ULEMAVU

Na.Issack Gerald -MPANDA. JAMII Mkoani Katavi imeombwa kutambua uwepo wa watoto wenye ulemavu, ili kuwapatia haki za msingi sawa na  watoto wengine.

MATUKIO 6 MAKUU YALIYOTOKEA KATAVI WIKI HILI LA TANO- 20,162 KATI YA 22,596 WAJIANDIKISHA MAKAZI MAPYA KATUMBA

Image
Wakazi wa makazi mapya ya Katumba wakijandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura Na.Agness Mnubi NSIMBO. WANANCHI 20,162 kati ya 22,596 sawa na asilimia 89 ya wakazi wapya, Wilayani Nsimbo Mkoani Katavi wamejiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura.

MATUKIO 6 MAKUU YALIYOTOKEA KATAVI WIKI HILI LA NNE,UBAKAJI WA WANAWAKE,WIZI WAKITHIRI POLISI JAMII WAKACHA ULINZI

NA . Issack Gerald- MPANDA Kukosekana kwa uongozi imara katika sekta ya ulinzi na usalama,kumeababisha vitendo vya wizi na ubakaji kwa wanawake kukithiri katika mtaa wa Msasani Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi.

MATUKIO 6 MAKUU YALIYOTOKEA KATAVI WIKI HILI LA TATU KATIKA SISA MGOMBEA UBUNGE CUF MPANDA ASHINDWA KUREJESHA FOMU,AFISA UCHAGUZI ALONGA

NA . Meshack Ngumba- MPANDA Chama cha Wananchi Cuf Kimeshindwa Kurejesha fomu ya Mgombea wa Ubunge Kupitia chama hicho Katika Jimbo la Mpanda Mjini Katika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi manispaa ya Mpanda.

MATUKIO 6 MAKUU YALIYOTOKEA KATAVI WIKI HILI LA PILI-WANNE WASHIKILIWA NA POLISI KATAVI KWA KUPORA ZAIDI YA MILIONI 7,SILAHA ZA KIVITA PIA ZAKAMATWA

Na.Issack Gerald - KATAVI Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linawashikilia watu wanne wanaosadikika kuwa majambazi Wilayani Mpanda kwa tuhuma za kujeruhi na kupora kiasi cha shilingi milioni saba.

MATUKIO 6 MAKUU YALIYOTOKEA KATAVI WIKI HILI LA KWANZA-MWANAMKE AKATWA PUA,ACHANWA SIKIO MMEWE AKATAA KUELEZA SABABU

Na.Issack Gerald - MPANDA. Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Magdarena Joseph Mkazi wa Mwamkulu Senatalumbanga Ma n ispaa ya Mpanda Mkoani Katavi amekatwa pua na kuchanwa sikio na mme wake Lukona Machimba,Kutokana na ugomvi wa kifamilia.