MTOTO ANAYEDAIWA KUUWAWA NA ASKARI KWA RISASI MLELE AZIKWA
Na.Issack Gerald-MPANDA Wazazi wakazi wa kijiji cha Kamsisi Wilayani Mlele Mkoani Katavi wamekubali kuuzika mwili wa mtoto wao Moshi Saleh (17) anayedaiwa kuuwawa kwa kupigwa risasi za moto na askari wa wanyama pori wa shirika la hifadhi za Taifa Tanapa Mkoani hapa.