TANROAD KATAVI WATAJA MIKAKATI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATAVI
Na.Issack Gerald-MPANDA WAKALA wa barabara Tanzania TANROADS Mkoani Katavi wamesema, wanafanya mchakato wa kupata wakandarasi wa kujenga miundombinu ya barabara zinazounganisha Mkoa wa Katavi na mikoa jirani. TANROADS