JERA MWAKA MMOJA WILAYANI MPANDA KWA KUENDESHA UVUVI NDANI YA HIFADHI
Na.Vumilia Abel-Mpanda MAHAKAMA ya Wilaya Mjini Mpanda imemuhukumu mtu mmoja mkazi wa Kakese kwenda jela mwaka mmoja kwa makosa mawili likiwemo la kujishughulisha na uvuvu ndani ya hifadhi bila kibali.