IGP MANGU AHIMIZA AMANI KATAVI
NA.Issack Gerald-Katavi MKUU wa jeshi la polisi nchini Inspekta jenerali Ernest Mangu, amesema kila mtu atimize wajibu wake ili kuhakikisha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, unafanyika kwa amani na utulivu.