WANAWAKE MPANDA WATAKIWA KUJIFUNGULIA HOSPITALINI KUPAMBANA NA VIFO
Na.Vumilia Abel-MPANDA Wanawake Wilayani Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kuona umuhimu wa kujifungulia katika vituo vya afya na kuachana mila potofu za kujifungulia nyumbani ili kuzuia voifo visivyo vya lazima.