WATUMISHI WA UMMA MPANDA WATAKIWA KUTOJIHUSISHA NA SIASA WAKATI WA KAZI
Watumishi wa umma wakiwa katika Ukumbi wa shule ya Sekondari St.Mary's Mpanda katika semina iliyoendeshwa na Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Mpanda Vicenti Kayombo Watumishi mbalimbali katika manispaa ya Mpandaa katika Semian ukumbi wa Shule ya Sekondari St.Mary's Manispaa ya Mpanda katika kikao cha utum,ishi wa umma kikendeshwa Kaimu Mkurugenzi Halmshauri ya Manispaa ya Mpanda Vicenti Kayombo Na. Mark Ngumba-MPANDA WATUMISHI Wa Umma wametakiwa Kutojihusisha na Maswala ya Siasa wakati wa Kazi na badala yake wahakikishe wanatimiza wajibu wao wa Kuwahudumia wananchi Katika Maeneo yao ya Kazi.