Posts

Showing posts from January 5, 2016

KAMANDA WA POLISI RUKWA AZUNGUMZIA HALI YA USALAMA SIKUKUU ZA KRISMASI NA MWAKA MPYA,ASEMA MATUKIO MAKUU MAWILI YALITIKISA MWAKA 2015

Image
Na.Issack Gerald-SUMBAWANGA Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa limesema kuwa,hakuna matukio matukio ya uharifu yaliyotokea katika kipindi chote cha msimu wa sikukuu za kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016.                                                          Ramani inayoonesha mahali Mkoa wa Rukwa unapopatikana pia maeneo yanayopakana na mkoa huo yanaonekana

VIONGOZI MKOANI GEITA WATAKIWA KUTOWAONEA AIBU WAFANYABIASHARA WASIOFUATA KANUNI ZA USAFI ILI KUPAMBANA NA KIPINDUPINDU

Na.Issack Gerald-Geita Viongozi wa Mkoa wa Geita wametakiwa wasiwaonee aibu kuwafungia wafanyabiashara wasiofuata kanuni za usafi wa mazingira na hivyo kupelekea mlipuko wa kipindupindu.

SIKU YA PILI ZIARA YA WAZIRI MKUU, AKAGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA

Image
Na.Issack Gerald-Ruvuma Chanzo cha habari :Ofisi ya mawasiliano ya Waziri Mkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Wialaya ya Songea lilipo katika kijiji cha Lundusi, Wilaya ya Peramiho mkoani Ruvuma.                                                                        Makao makuu ya Halmashauri aya Wilaya ya Songea