GODBLESS LEMA : KAMA SERIKALI YA MAGUFULI HAIJUI NANI ANAEFANYA MATUKIO YA MAUAJI, BASI NAE HAYUKO SALAMA-Oktoba 6,2017
Godbless Lema akizungumza(mwenye shati (jeupe) na waandishi wa habari CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimehoji maswali mbalimbali kwa Waziri wa Mambo ya Ndani,Mwigulu Nchemba na Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP),Simon Sirro kuhusu mambo yanayoendelea kwenye upelelezi wa Ben Saanane,Tundu Lissu na aliyemtishia Mbunge wa Mtama,Nape Nnauye.