WALIMU MANISPAA YA MPANDA MKOANI KATAVIWAMEIOMBA SERIKALI KUWAPANDISHA VYEO WANAPOKUWA WAMEKIDHI VIGEZO.
WALIMU wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kuwapandisha cheo wanapokuwa wamekidhi vigezo pamoja na kutengenezewa vitambulisho vipya vya kazi.